Monday 7 December 2015

EPL: GEORGINIO WIJNALDUM AIPA NEWCASTE USHINDI


Liverpool wamechapwa 2-0 na Newcastle wakati wako kwenye form nzuri...Kwanza liveerpool walianza kwa kujifunga halafu Georginio Wijnaldum akapiga juu ya kipa mwishoni kabisa na pupata bao safi...Newcastle wamepata ushindi wa 3 msimu huu na kuwapita Sunderland kwenye msimamo wa ligi...Kuna wakati mwamuzi alifanya kosa kumkatalia Alberto Moreno alipopata volley safi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment