Monday 7 December 2015

NBA: CURRY NA GOLDEN STATE WAFIKA 22-0 BAADA YA KUIZAMISHA NETS


Stephen Curry na Golden State Warriors waendelea kuweka historia baada ya kuwachapa Brooklyn Nets 144-98 na kufikia game 22 nila kuchapwa...Draymond Green aliibuka na points 22 rebound 9 na assists 7...Curry aliibuka na points 28 na sasa wanafukuzia rekodi ya Miami Heat ya mwaka 2012-13 ya kutofungwa kwa muda mrefu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment