Sunday 6 December 2015

FIFA: FBI YASEMA MILIONI 6.6 POUNDS ZILITUMIKA KUHONGA KURA ZA WORLD CUP 2010


FBI wamesema kuna pesa kiasi cha milioni 6.6 kilitumika kupata kura ya World
Cup 2010 na zilitolewa na mtu mmoja ambae hakutajwa...Wakurugenzi wengi wa FIFA wamekamatwa kutoka na mambo ya rushwa na bado uchunguzi unaendelea...Bofya hapa upate habari zaidi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment