Wednesday 16 December 2015

SWIMMING: MTANZANIA AWIKA HUKO KAMPALA KWENYE MASHINDANO YA SWIMMING



Mtanzania Josephine Oosterhuis ameibuka mswimmer bora chini ya miaka 14 huko Kampala...Mashindano makubwa ya CANA Zone III yalioisha hivi karibuni yameona Tanzania ikiwika na kuibuka na medals 45...Mashindano hayo yalihudhuriwa na South Africa, Rwanda, Tanzania, Djibouti na wenyeji Uganda...Max Sports Blog inawapa hongera wote waliohusika na timu ya Swimming na Swimmers wote...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment