Wednesday 25 November 2015

ATP WORLD TOUR FINALS: DJOKOVIC AMPIKU FEDERER NA KUSHINDA ATP TOUR


Novak Djokovic aendelea kutesa kwenye ulimwengu wa Tennis baada ya kumchapa mkongwe Roger Federer na kuchukua kombe la ATP Tour...Djokovic alishinda 6-3 6-4 na alitumia dakika 80 tu hiyo ni pamoja na kuvunja serve mara 3...Djokovic anamaliza mwaka na title 6 zikiwemo Grand Slam 3...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment