Saturday 21 November 2015

NBA: MCHEZAJI BORA NBA STEPHEN CURRY AICHAKAZA CLIPPERS NA KUPATA POINTS 40


Stephen Curry wa Golden State Warriors ameisumbua sana LA Clippers na kuibuka na points 40...


Mchezaji huyo boya kwenye ligi alikuwa hashikiki na akiruka tu bao.

Curry anasema eti bado hakucheza vizuri na ilikuwa acheza vizuri zaidi.

Forward wa LA Blake Griffin alisema timu ya Golden State wazuri na walistahili ushindi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment