Tuesday 17 November 2015

BBC AFRICA FOORBALLER OF THE YEAR: MAJINA WAMETOKA SASA UNAWEZA KUPIGA KURA


Majina ya wachezaji bora kutoka Africa yametoka...Majina hayo matano yalitangazwa jijini Jozi na yako tayari kupigiwa kura na mashabiki...Kwenye list hiyo yuko dogo kutoka Algeria Yacine Brahimi mshindi wa mwaka jana pamoja na Piere-Emerik Aubameyang anayetokea Gabon...Wengine ni Andre Ayew kutoka Ghana, Sadio Mane na Yaya Toure kutoka Ivory Coast...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment