Showing posts with label Andre Ayew. Show all posts
Showing posts with label Andre Ayew. Show all posts

Saturday, 8 October 2016

WORLD CUP QUALIFIER: UGANGA HOLD GHANA TO A 0-0 DRAW


Asamoah Gyan and coach Avram Grant failed to win against a determined Uganda side...It was the opening of 2018 World Cup qualifier game for Group E...

Tuesday, 17 November 2015

BBC AFRICA FOORBALLER OF THE YEAR: MAJINA WAMETOKA SASA UNAWEZA KUPIGA KURA


Majina ya wachezaji bora kutoka Africa yametoka...Majina hayo matano yalitangazwa jijini Jozi na yako tayari kupigiwa kura na mashabiki...Kwenye list hiyo yuko dogo kutoka Algeria Yacine Brahimi mshindi wa mwaka jana pamoja na Piere-Emerik Aubameyang anayetokea Gabon...Wengine ni Andre Ayew kutoka Ghana, Sadio Mane na Yaya Toure kutoka Ivory Coast...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 15 August 2015

EPL: AYEW AFANYA VIZURI TENA SWANSEA


Andre Ayew amefunga bao la 2 na kuipa ushindi Swansea City dhidi ya Newcastle United...Ayew alifunga bao safi la kichwa na sasa Ayew anamabao 2 katika mechi 2 alizocheza...Bao la kwanza la Swansea alifunga Gomis mapema dakika ya 9...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 10 August 2015

SWANSEA CITY: AYEW AJISIKIA YUKO NYUMBANI


Andrew AyewAndre Ayew forward wa Swansea City amesema anajisikia kama yuko nyumbani ndani ya club...Ayew mwenye umri wa miaka 25 aliingia Swansea mwezi was 6 na amefanikiwa kupata bao la kwanza walipoikimbiza Chelsea na kutoka sare ya 2-2...Ayew alitokea timu ya kifaransa ya Marseille ambapo alikaa sana huko na pia alisoma academy na kukulia Marseille...Bofya hapa update habari zaidi.