Showing posts with label Swansea City. Show all posts
Showing posts with label Swansea City. Show all posts

Wednesday, 28 December 2016

SWANSEA CITY FC: AMERICAN BOB BRADLEY SACKED


Swansea City have sacked manager Bob Bradley after 85 days in-charge...Swansea are above bottom sitting Hull City on goal difference after being beaten 4-1 by West Ham...

Thursday, 3 March 2016

EPL: NDOTO ZA ARSENAL SASA ZAANZA KUOTA MBAWA


Arsenal sasa inaonekana kama wanasindikiza wenzao kwani huu ni mwaka wa Arsenal kuchukua kombe lakini wanachapwa na vitimu vidogo na kupoteza points muhimu...Swansea wametoka nyuma na kushinda 1-2 na kuharibu kabisa mipango ya Arsenal kuchukua ubingwa mwaka huu...Toka mwaka 2010 Arsenal ilikuwa haijawahi kupoteza mechi 3 mfululizo na sasa wako points 6 chini ya Leicester City hali ambayo inaipa tabu timu hiyo kutwaa ubingwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 20 January 2016

MANCHESTER CITY: BONY AKANUSHA UVUMI



Wilfred Bony amekanusha uvumi kuwa anataka kurudi Swansea...Toka Bony ahoji kuachwa nje na Pellegrini December watu walianza kuvumisha anataka kurudi Swansea...Bony amesema bado anafurahia nafasi yake hapo Manchester City...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 15 August 2015

EPL: AYEW AFANYA VIZURI TENA SWANSEA


Andre Ayew amefunga bao la 2 na kuipa ushindi Swansea City dhidi ya Newcastle United...Ayew alifunga bao safi la kichwa na sasa Ayew anamabao 2 katika mechi 2 alizocheza...Bao la kwanza la Swansea alifunga Gomis mapema dakika ya 9...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 10 August 2015

SWANSEA CITY: AYEW AJISIKIA YUKO NYUMBANI


Andrew AyewAndre Ayew forward wa Swansea City amesema anajisikia kama yuko nyumbani ndani ya club...Ayew mwenye umri wa miaka 25 aliingia Swansea mwezi was 6 na amefanikiwa kupata bao la kwanza walipoikimbiza Chelsea na kutoka sare ya 2-2...Ayew alitokea timu ya kifaransa ya Marseille ambapo alikaa sana huko na pia alisoma academy na kukulia Marseille...Bofya hapa update habari zaidi.

Tuesday, 16 December 2014

SPAIN: ANDRE HERERRA NA JEFFERSON MONTERO WATAJWA KWENYE UCHUNGUZI WA KUPANGA MATOKEO



Andre Hererra wa Manchester United na Jefferson Montero wa Swansea City ni kati ya wati 41 waliotajwa kuhusika na upangaji wa matokeo ya mechi dhidi ya Levante na Real Zaragoza katika msimu wa 2010-11...




Mashtaka hayo ambayo yako kwenye Mahakama ya Valencia yamesema zilitumika milioni 1 Euro ili Levante wapoteze mechi yao dhidi ya Zaragoza na Andre Herera ni kati ya watu 10 waliotoa pesa nyingi sana benki zilizotoka Zaragoza kwaajili ya rushwa...Bofya hapa upate habari zaidi.