Thursday 3 March 2016

EPL: NDOTO ZA ARSENAL SASA ZAANZA KUOTA MBAWA


Arsenal sasa inaonekana kama wanasindikiza wenzao kwani huu ni mwaka wa Arsenal kuchukua kombe lakini wanachapwa na vitimu vidogo na kupoteza points muhimu...Swansea wametoka nyuma na kushinda 1-2 na kuharibu kabisa mipango ya Arsenal kuchukua ubingwa mwaka huu...Toka mwaka 2010 Arsenal ilikuwa haijawahi kupoteza mechi 3 mfululizo na sasa wako points 6 chini ya Leicester City hali ambayo inaipa tabu timu hiyo kutwaa ubingwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment