Sunday 13 March 2016

FA CUP 2016: LUKAKU ATUMIA SEKUNDE 286 KUIZAMISHA CHELSEA


Romelu Lukaku ameizamisha Chelsea na kuingia nusu fainali ya FA Cup...Lukaku ambae alikuwa mchezaji wa zamani wa Chelsea kwenye dakika ya 77 alitingisha nyavu kwa goli safi na kwenye dakika ya 82 aliongeza bao la 2...Game ilikuwa na misukosuko na Costa aliyolewa nje kwa kadi nyekundu na pia inasemekana aling'ata mtu... Gareth Barry wa Everton pia alitokea nje kwa kadi nyekundu dakika ya 87...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment