Monday 21 March 2016

LA LIGA: GARETH BALE AWA MFUNGAJI BORA KUTOKA UINGEREZA


Gareth Bale ameweka historia kwa kuwa mfungaji bora kutoka Uingereza kwenye ligi ya La Liga na alifanya hivyo kwenye game kali sana dhidi ya Sevilla ndani ya Bernabeu..Sevilla waligongwa 4-0 na Real Madrid...Bale alipata bao la 43 na kumpita mkongwe Garry Lineker aliokuwa anachezea Barcelona...



Pamoja na kufikia mabao 43 aligonga post mara 2 na bao moja lilikataliwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment