Friday 11 March 2016

EUROPA LEAGUE 2016: MANCHESTER UNITED WAZIDIWA MAARIFA NA LIVERPOOL


Katika mechi ya kwanza kutokea kihistoria kati ya Liverpool na Manchester United wakiwa UEFA ndogo au Europa League imeonekana Liverpool ndio waliokuwa wajanja kuliko mashetani wekundu...Mechi ya jana ilikuwa ya upande mmoja kwani Manchester United walikimbizwa sana na kukoswa maba lukuki na hadi kipenga cha mwisho ubao ulisoma 2-0...Ungwe ya kwanza Liverpool wameshinda tusubiri ungwe ya 2 labda Manchester United watacheza vizuri maana walicheza ovyo sana...


De Gea ndio aliyesaidia sana Man U hasa kipindi cha 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment