Friday 4 March 2016

LA LIGA: BARCELONA YA VUNJA REKODI ILIYOKAA MIAKA 27 YA KUCHEZA BILA KUFUNGWA



Barcelona imeefanikiwa kuvunja rekodi ya kutofungwa ambayo ilikaa miaka 27 na sasa Barca wana mechi 35 bila kufungwa katika mashindano yote...Barca waliwachapa Rayo Vallecano mabao 1-5 walipofikia hiyo rekodi...Makosa mengi yalikuwa ya kipa na pia kulikuwa na kadi nyekundu 2...Lionel Messi alifanikiwa kupata hat-trick na kuondoka na mpira wake...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment