Thursday 10 March 2016

CAF CHAMPIONS LEAGUE 2016: YANGA YATUA KIGALI TAYARI KUPAMBANA NA APR


Yanga al-maaruf kama Dar es Salaam Young Africans wametua Kigali tayari kucheza na APR Jumamosi...Kocha Mholanzi, Pluijm,  amesema mechi inayokuja ni ngumu lakini watapambana tu washinde...Kwa sasa Yanga inaongoza ligi ya nyumbani kwa points 50 na hivi karibuni wametoka kuwaadhibu African Stars 5-0...Yanga wamefikia katika hoteli moja matata sana ya kifahari inayoitwa Mirror yaani Kioo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment