Friday 18 March 2016

VODACOM PREMIER LEAGUE: BEKI WA KUSHOTO AIPA USHINDI AZAM FC


Huwa ni nadra sana kwa mabeki kufunga lakini beki wa kushoto Shomari Kapombe alitingisha nyavu dakika ya 63...Azam walikuwa dimbani na Stand United katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi Dar es salaam...Kapombe sasa anamabao 7 na hiyo imemfanya awe beki mwenye mabao mengi kuliko wengine wote...Azam sasa wako sawa na Yanga kwenye nafasi ya 2 wakiwa na points 50...Simba wanaongoza ligi wakiwa na points 54...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment