Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Azam Complex. Show all posts
Showing posts with label Azam Complex. Show all posts
Saturday, 17 August 2024
Thursday, 19 January 2017
VODACOM PREMIER LEAGUE: MBEYA CITY NA AZAM FC NGOMA DRAW
Mbeya City waliwakomalia matajiri wa Chamazi na mabingwa wa Mapinduzi Cup Azam FC na kutoka sare ya 0-0 ndani ya uwanja wa Azam Complex huko Chamazi Dar es Salaam...
Thursday, 15 September 2016
VPL: AZAM YAKUBALI KWA SHINGO UPANDE MABADILIKO MADOGO YA RATIBA YA TFF
Azam Fc imekubali mechi kati ya Simba na Azam FC ifanyike Uwanja wa Uhuru badala ya Azam Complex huko Chamazi jijini Dar es Salaam...TFF ilifanya mabadiliko kidogo na kuwapa Simba uenyeji ndio maana uwanja ulibailishwa...Azam wamekubali mabadiliko hayo madogo ingawa wadau wengi wamekosoa uamuzi wa TFF na kusema wamewaonea Azam wana Lambalamba...Azam wameridhia lakini wametoa sharti moja kwamba mechi nyingine ichezewe Azam Complex huko Chamazi.
Monday, 22 August 2016
AFRICAN YOUTH CHAMPIONSHIP: SERENGETI BOYS YASONGA MBELE KWA KUICHAPA AMAJIMBOS 2-0
Serengeti Boys wamefanikiwa kusonga mbele ya michuani ya vijana ya Afrika (African Youth Championship)...Serengeti Boywa sasa wameingia mzunguko wa mwisho wa kufuzu michuao hiyo...Vijana wa Bakari Shime, Mohamed Abdallah na Muhsin Makame, ndio walio waliopachika mabao moja kabla y amapumziko na lingine baada ya mapumziko...Serengeti sasa watakutana na Congo au Namibia katika mzunguko huo...Bofya hapa upate habari zaidi.
Friday, 1 April 2016
AZAM SPORTS FEDERATION CUP: YANGA NA AZAM WASONGA MBELE
Azam wamesogea mbele kwenye kombe la ASFC baada ya kuwachapa Mbeya Prisons 3-0 ndani ya viwanja vya Chamazi...Yanga nao wameshinda mechi yao thidi ya Ndanda F.C. 2-1 ndani ya Uwanja wa Taifa...Stand United ya nao wameingia nne bora baada ya kuwazamisha Geita 3-0...Bofya hapa upate habari zaidi.
Friday, 18 March 2016
VODACOM PREMIER LEAGUE: BEKI WA KUSHOTO AIPA USHINDI AZAM FC
Huwa ni nadra sana kwa mabeki kufunga lakini beki wa kushoto Shomari Kapombe alitingisha nyavu dakika ya 63...Azam walikuwa dimbani na Stand United katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi Dar es salaam...Kapombe sasa anamabao 7 na hiyo imemfanya awe beki mwenye mabao mengi kuliko wengine wote...Azam sasa wako sawa na Yanga kwenye nafasi ya 2 wakiwa na points 50...Simba wanaongoza ligi wakiwa na points 54...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)





