Thursday 15 September 2016

VPL: AZAM YAKUBALI KWA SHINGO UPANDE MABADILIKO MADOGO YA RATIBA YA TFF


Azam Fc imekubali mechi kati ya Simba na Azam FC ifanyike Uwanja wa Uhuru badala ya Azam Complex huko Chamazi jijini Dar es Salaam...TFF ilifanya mabadiliko kidogo na kuwapa Simba uenyeji ndio maana uwanja ulibailishwa...Azam wamekubali mabadiliko hayo madogo ingawa wadau wengi wamekosoa uamuzi wa TFF na kusema wamewaonea Azam wana Lambalamba...Azam wameridhia lakini wametoa sharti moja kwamba mechi nyingine ichezewe Azam Complex huko Chamazi.

No comments:

Post a Comment