Sunday 18 September 2016

VPL: SIMBA YANGURUMA UWANJA WA UHURU


Baada ya sakata la kuhamisha mechi na kuipa Simba uenyeji katika Uwanja wa Uhuru Wana wa Msimbazi walinguruma kwa kuwachapa "Wanalambalamba" au "Matajitri wa Chamazi" Azam FC bao 1...


Bao safi kutoka kwa mshambuliaji Shiza Kichuya.

Simba sasa wanaongoiza ligi  wakiwa na pointi 13 wakiwaacha Yanga na Azam nyuma wakiwa na points 10.

No comments:

Post a Comment