Tuesday 20 September 2016

MAZOEZI: WAZIRI WA ZAMANI PROF. MARK MWANDOSYA AKIFANYA MAZOEZI KATIKATI YA JIJI LA HYDERABAD HUKO INDIA


Waziri wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi Mbeya (MUST-Mbeya university of Science and Technology) , Prof. Mark Mwandosya, akifanya mazoezi leo katikati ya jiji la Hyderabad, India...


Eneo hilo limetengwa mahsusi kwasababu ya mazoezi na liko katikati ya jiji ni hifadhi ya Taifa pia.

Manthari yake ni safi na miti mingi yamezunguka eneo hilo linaloitwa K.B.R National Park.


Mazoezi ni kitu muhimu sana katika kulinda afya ya mwanadamu.


Mazoezi huhitaji discipline na moyo na huzuia magonjwa mengi sana ambayo yanaweza kusababisha madhara katika miili yetu.


Tujenge tabia ya kufanya mazoezi mara kwa mara hata kama hauwezi jaribu kutembea tu.

No comments:

Post a Comment