Showing posts with label Amajimbos. Show all posts
Showing posts with label Amajimbos. Show all posts

Monday, 22 August 2016

AFRICAN YOUTH CHAMPIONSHIP: SERENGETI BOYS YASONGA MBELE KWA KUICHAPA AMAJIMBOS 2-0


Serengeti Boys wamefanikiwa kusonga mbele ya michuani ya vijana ya Afrika (African Youth Championship)...Serengeti Boywa sasa wameingia mzunguko wa mwisho wa kufuzu michuao hiyo...Vijana wa Bakari Shime, Mohamed Abdallah na Muhsin Makame, ndio walio waliopachika mabao moja kabla y amapumziko na lingine baada ya mapumziko...Serengeti sasa watakutana na Congo au Namibia katika mzunguko huo...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 8 August 2016

SERENGETI BOYS: AMAJIMBOS YASHIKWA SHATI NA SERENGETI BOYS


Amajimbos wametoka sare ya 1-1 na Serengeti Boys katika mechi kali iliyofanyika katika uwanja wa Dobsonville South Africa...Serengeti walikuwa makini na waliweza kuwa na mbio wakati wa counter-attacks...Serengeti walikosa mabao kibao na kubaki kjiuliza maswali kibao...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 4 August 2016

AFRICAN YOUTH CHAMPIONCHIP 2017: SERENGETI BOYS WAINGIA SOUTH AFRICA TAYARI KUCHUANA NA AMAJIMBOS



Serengeti Boys wamazama South Africa kukutana na Amajimbos Jumamosi...Serengeti boys wanatokea Antananarivo Madagascar ambapo walipata ushindi wa mabao 2-0 huko na sasa inabidi wawafunge Amajimbos ili waweze kuingia round ya 3...Baada ya game ya Jumamosi watarudiana hapa nyumbani ndani ya Azam Complex baada ya wiki mbili...


Serengeti boys walipata nafasi ya kucheza na Amajimbos baada ya kuwagaragaza vibaya saya Seychelles kwa aggragate ya 9-0...Bofya hapa ypate habari zaidi.