Sunday 6 March 2016

NFL: PEYTON MANNING ATANGAZA KUSTAAFU


Peyton Manning ametangaza kustaafu American Football...Baada ya kushinda Super Bowl 50 dhidi ya Carolina Panthers ameamua kupimzika....Manninga amecheza misimu 18 na kawa MVP mara 5 na kushinda Super Bowl mara 2 kwa mtu kupata mafanikio kama hayo si jambo rahisi na kweli anastahili pongezi...Mkurugenzi wa mpira wa Denver Broncos John Elway amesema Denver wanashukuru kupata mtu kama Manning kwani mafanikio yake yameisaidia sana timu ya Denver...Jumatatu kutakuwa na mkutano wa Broncos na waandishi wa habari kuzungumzia kustaafu kwake...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment