Friday 18 March 2016

KENYA: STAR WA ZAMANI WA ARSENAL KUITEMBELEA KENYA


Nwankwo Kanu, mchezaji hatari sana wa zamani wa Arsenal, ataitembelea Kenya mwezi ujao...Kanu atakuwa mgeni rasmi kwenye michuano ya Star Times Seven a side Inter-Media Football Challenge' ndani ya Kasarani...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment