Monday 21 March 2016

BOXING: ROY JONES JR AMESHINDA PAMBANO DHIDI YA SHABIKI


Roy Jones Jr. amezichapa na shabiki wake na kushinda pambano kwenye round ya 2...Kati ya mashabiki 1,500 waliotaka kuzichapa na Roy Jones Vyron Phillips aliibuka mshindi wa kura zilizopigwa Facebook...Angeshinda angepewa $100,000...Jones alisema hana issue yoyote mbeleni  baada ya kuchapwa na Enzo Maccarinelli mwaka jana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment