Friday 4 March 2016

WOMEN AFRICA CUP OF NATIONS 2016: TWIGA STARS YAWAKARIBISHA MIGHTY WARRIORS KUTOKA ZIMBABWE


Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars wanawakaribisha Warriors wa Zimbabwe katika mzunguko wa kwanza wa kombe la mataifa la Africa kwa Wanawake AFWCON...Mechi itachezewa katika viwanja vya Azam huko Chamazi...Twiga Stars inabidi washinde ili wakae nafasi nzuri ya kuendelea katika qualifications za michuani hiyo...Mechi ya mzunguko wa 2 itachezwa huko Zimbabwe baada ya wiki 2...Twiga wakifanikiwa kushinda watakutana na mshindi kati ya Namibia na Zambia (Shepolopolo)...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment