Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 18 March 2016
BAYERN MUNICH: BEKI DAVID ALABA ASAINI MKATABA MPYA NA BAYERN MUNICH
Beki hatari kabisa, David Alaba, amesaini mkataba mpya na Bayern Munich mpaka 2021...Huyu dogo ni beki wa kushoto na ana umri wa miaka 23 tu alikuwa anatarajiwa kwenda Manchester City na Pep Guardiola lakini sasa atabaki Bayern...Alaba ametoka kwenye program ya watoto ya Bayern na sasa yuko kamili sana...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment