Thursday 17 March 2016

LIVERPOOL FC: BEKI FLANAGAN KUSAINI MKATABA MPYA ANFIED


Tetesi zinasema beki makini wa Liverpool Jonathon Patrick "Jon" Flanagan atasaini mkataba mpya na the Kop...Kutokana na umahiri wake Liverpool wamempa mkataba wa miaka 3 zaidi ambao muda wowote atasaini...Dogo huyu mwenye umri wa miaka 23 alikaa nje kwa muda baada ya kuumia goti na akaanza kucheza mwezi wa 1...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment