Thursday 10 March 2016

ATHLETICS: SEAN SAFO-ANTWI ARUHUSIWA KUBEBA BENDERA YA GHANA


Mwanariadha kwenye asili ya Ghana, Sean Safo-Antwi, anayekimbia kutumia bendera ya Uingereza ameamua kurudi na kupeperusha bendera ya Ghana...


Maombi yake ya kukimbia kwa bendera ya Ghana yamepita bila shida International Association of Athetes Federation.

Safo-Antwi huwa anakimbia mbio fupi na alidhinda mbio za mita 60 huko Glasgow...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment