Thursday 31 March 2016

F1: ALONSO NJE BAHRAIN GRAND PRIX BAADA YA AJALI MBAYA SANA


Alonso hatoweza kushiriki Bhahrain GP baada ya kupata ajali mbaya sana...Alonso amevunja mbavu na pafu lake la kulia halifanyi kazi vizuri...Alipata ajali mbaya akiwa na spidi ya kilometa 180 kwa saa...


Madaktari wake wamsema hawatomruhusu kushiriki kutokana na majeraha yake na sasa dereva Stoffel atachukua uskani kwa mara ya kwanza kwa niaba ya McLaren...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment