Friday 4 March 2016

NBA: GOLDEN STATE WARRIORS WAFIKIA REKODI YA CHICAGO BULLSYA KUTOFUNGWA NYUMBANI MECHI 44


MVP Stephen Curry na timu yake ya Golden State Warriors wameifikia rekodi ya enzi za wakina Michael Jordan na Chicago Bulls ya kutochapwa nyumbani...Golden State waliwachapa Oklahoma Thunder 121-106 na kufikia rekodi hiyo...Curry kwenye hiyo game aliibuka na points 33 na mwenake Kevin Durant aliibuka na points 32...Chicago Bulls walishinda mechi 44 za nyumbani kuanzia March 30, 1995 mpaka April 4, 1996...Msimu huo wa 1995-96 Bulls walishinda game 72 ambayo ni rekodi katika NBA na Golden State wako njiani kuifukuzia hiyo rekodi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment