Monday 7 March 2016

EPL: LOUIS VAN GAAL AMWAKIA MATA KWA RED CARD YA KIJINGA


Kocha wa Manchester United Louis van Gaal amemwakia Mata na kusema kapata red card ya kijinga kabisa baada ya kufanya foul zote mbili ndani ya muda mfupi.





Manchester United sasa wanaona kumaliza  nafasi ya 4 kama ndoto kisa Mata amewarudisha nyuma.

Manchester walichapwa hiyo mechi 1-0 dhidi ya West Brom na sasa wamekaa nafasi ya 6 kweye ligi wakipitwa na West Ham.



Ni mara ya kwanza katika miaka 32 West Brom kumchapa Manchester United...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment