Tuesday 22 March 2016

TENNIS: CEO WA INDIAN WELLS AMEACHIA NGAZI BAADA YA MATAMSHI YAKE YA KUKEJELI TENNIS YA WANAWAKE


CEO wa Indian Wells, Raymond Moore, ameachia ngazi uongozi wa Indian Wells baada ya matamshi ya kukejeli Tennis ya wanawake...More alisema tennis ya wanawake iko nyuma ya mkia wa makoti ya wanaume...Matamshi hayo yameonekana kama kejeli na United States Tennis Association (USTA) wamesema matamshi hayo ni ubaguzi wa kijinsia...Bingwa wa dunia kwa upande wa wanawake amesema matamshi ya Moore yanakasirisha na nio sawa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment