Tuesday 8 March 2016

PEP GUARDIOLA: PEP AKUTANA NA BOSS TXIKI BEGIRISTAIN AMSTERDAM


Pep Guardiola amekutana na sporting director wa Manchester City, Txiki Begiristain, jiijni Amsterdam jana...Pep anatarajiwa kuingia Manchester City na pia anatarajiwa kuvuta wachezaji wachache hatari...Wachezaji wanaotajwa ni pamoja na Paul Pogba, John Stones na IIkay Gundogan...Pep na Txiki walikutana kwenye hoteli moja ya kifahari yenye nyota 5 inayoitwa Conservatorium...


Walikaa na kupanga mikakati ya kuendeleza Manchester City msimu ujao...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment