Thursday 17 March 2016

NBA: GOLDEN STATE WARRIORS WACHANJA MBUGA WAKIWA NA USHINDI WA GAMES 61


Golden State wamewagaragaza vibaya sana Knicks 121-85 na kufikia games 61-6 za ushindi...Knicks defense ilikuwa mbovu na Warriors wakiwa wana drive mpira wanagawana au wanatumia screen na kumwachia Stephen Curry achape 3 points au Curry mwenyewe anaingia ndani na haujui kama ataingiza maana ni balaa au atatoa pasi akaichukue upande wa 2 wa D...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment