Tuesday 1 March 2016

NBA: STEPHEN CURRY APIGA GAME MOJA HATARI SANA


MVP Stephen Curry alipiga game moja hatari na kuokoa timu yake kwa kupiga shot moja very impossible...Golden State Warriors walishinda kwenye overtime baada ya Curry kupachika basket akiwa nje kabisa ya D...


Basket hiyo iliyoshinda game iliwashangaza wadau wa basket na pia wahasimu wake ambao wamembeza hivi karibuni...Wabaya wake wanasema eti anacheza hivyo kutokana na kuwa NBA haina wachezaji wa defense wazuri na pia wachezaji wa sikuhizi mayai na hawana nguvu ya kumsimamisha lakini aliwanyamazisha katika game hiyo dhidi ya Oklahoma City...


Kwa sasa Curry ndio anayeongoza ligi kwa kuwa na wastani wa points 30.7 msimu huu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment