Friday 18 March 2016

SIMBA SPORTS CLUB: ISIHAKA AVULIWA UCAPTAIN


Beki wa Simba SC Hassan Isihaka amevuliwa unahodha...Isihaka amevuliwa kutokana na kumwakia kocha wa muda Jackson Mayanja mwezi uliopita...Pia kamati kuu imemfungia Isihaka kucheza mwezi 1...Hapo awali alisimamishwa moja kwa moja na mshahara wake ulikatwa nusu...Afisa habari wa Simba, Haji Manara, amesema Hassan ameomba radhi lakini atakuwa nje msimu wote...Kocha huyo kutoka Uganda amesema hili suala ni la ndani na kila mchezaji anatakiwa kufuata taratibu sahihi za mpira...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment