Tuesday 15 March 2016

BOXING: FURY NA KLITCHKO KURUDIANA TAREHE 4 JUNE


Tyson Fury alimpokonya ubingwa Wladimir Klitchko mwaka jana na sasa watarudiana na pambano litafanyika nchini Austria...Pambano hilo tayari limeshapangiwa tarehe na June 4 ndio tarehe ya pambano...


Uwanja wa mapambano unaitwa Woerthersee na unachukua watu 32,000...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment