Monday 14 March 2016

MIKE TYSON: TYSON AAMUA KUUZA NYUMBA YAKE KUBWA YA KIFAHARI



Mike Tyson au kwa jina lingine 'Iron Mike' ameamua kupiga bei nyumba yake aliyokuwa anakaa toka 2008...


Nyumba hiyo inaingia sokoni kwa bei ya $1.5 milioni kwa hiyo wadau kama mnapakee yakutosha nyumba hatari kabisa iko sokoni...


Nyumba hiyo ina futi za mraba 5,800 yenye vyumba 5 na mabafu 6...


Mengine ni sehemu 3 za kuota moto, sehemu ya kuhifadhi mvinyo na sehemu ya kuogelea...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment