Wednesday 2 March 2016

EPL: MASHABIKI WA ASTON VILLA WAONDOKA UWANJANI WAKIMLAUMU MMILIKI RANDY LERNER


Aston Villa wako chini ya kabisa ya ligi na jana walichapwa vibaya na Everton...Mashabiki waliweka mgomo baridi kumlaumu mmiliki wa timu Randy Lerner kwa kusepa dakika ya 74...Aston Villa ni timu ya zamani sana ilianzishwa mwaka 1874 na sasa watashuka daraja kwani mpaka sasa hali ni tete...Everton waliwachapa Villa 1-3 ndani ya Villa Park kitu ambacho kiliwachukiza mashabiki sana...Mara ya mwisho Villa walishuka daraja mwaka 1987 na wanaweza kubaki kwenye premiership  lakini inakuwa kama ndoto vile...Bado game 10 tu msimu uishe...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment