Thursday 10 March 2016

AZAM FC: AZAM WATISHA NA VIWALO VYA SAFARI YA KWENDA SOUZ


Timu zikisafiri lazima zionekane zimependeza hasa katika safari za nje ya nchi...


Azam FC wametoa mfano mzuri kwa kutinga viwalo vikali yaani suti kali sana katika safari yao ya kwenda Afrika Kusini....


Azam wameenda kucheza mechi yao ya Shirikisho dhidi ya Bidvest Wits ya huko...


Timu zote zinatakiwa kuiga mfano wa Azam...Hapa taswira kidogo ya jinsi vijana wa lamba lamba walivyotokezea na suti zao hatari sana...


No comments:

Post a Comment