Friday 4 March 2016

ARSENAL: ARSENE WENGER AMJIBU THIERY HENRY


Aresene Wenger amemjibu Thiery Henry kutokana na Henry alivyosema mashabiki walikasirika sana Arsenal ilivyofungwa na Swansea 2-1...Thiery Henry sasa ni mchambuzi wa soka na huwa anafuatilia sana timu yake ya nyumbani na baada ya kichapo alisema hajawahi kuona mashabiki wa Arsenal wakikasirika kama siku hiyo...Wenger nae ameibuka na kusema Henry hana kipimo cha kupima watu 60,000 kama wamekasirina na pia Henry anaanglia mpira kwenye viti vizuri na asipokuwa kazini anaangalia mpira kwenye sehemu maalum ya viti vya wakurugenzi...


Hapo sasa naona mambo yahajakaa vizuri hapo Emirates kwani Henry pia anafanya kazi Arsenal anafundisha watoto chini ya miaka 19...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment