Thursday 17 March 2016

ARSENAL: ROBERTO MARTINEZ AMTETEA ARSENE WENGER


Boss wa Everton Roberto Martinez amechangia katika wimbi bovu alilokumbana nalo Arsene Wenger kwa kusema Wenger ni kocha hodari sana aliyebadilisha mchezo na pia Arsenal wanaweza kuchukua ubingwa msimu huu...Sema kibarua cha points 11 cha kumfukuzia Leicester City FC sio kitu kidogo...Miujiza hutokea kama tunavyoiona Leicester mwaka huu...hakuna mtu aliyetegemea Leicester kufika hata nafasi ya 10...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment