Wednesday 16 March 2016

NBA: LAKERS WACHAPWA LAKINI KOBE BADO YUMO


Katika game yake ya mwisho dhidi ya LeBron James, Kobe Bryant bado yuko sawa sawa kwani aliweka show ya kutosha kabisa na kuibuka na points 26 na mwenzake wa Cleveland James 24...


Shida ya timu ya Lakers ni kwamba defence ni mbovu kabisa na ndio maana msimu huu haijafanya vizuri kabisa...Bofya hapa upate habairi zaidi.

No comments:

Post a Comment