Thursday 10 March 2016

CHAMPIONS LEAGUE 2016: CHELSEA CHALI KWA PARIS SAINT GERMAIN


Chelsea FC wazee wa darajani jana waliangukia pua na ndoto zao za Champions League kupotea baada ya kuchapwa na PSG 1-2...Mechi hii ilikuwa mzunguko wa 2 na mzunguko wa kwanza Chelsea walichapwa 2-1 na PSG...PSG wamepita kwa aggregate ya 2-4...Bao la kwanza lilipatikana mnamo dakika ya 16 kupitia Rabiot na Costa akasawazisha dakika ya 27...Zlatan Ibrahimovic akawapaisha PSG dakika ya 67 kwa bao safi kabisa...


Ibrahimovic toka mwaka 2012 ameifungia PSG mabao 19 na Assist 10 ya Champions League na ni zaidi ya mchezaji yoyote...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment