Monday 7 March 2016

EVA CARNEIRO: DAKTARI WA ZAMANI WA CHELSEA ATAKA JOSE MOURINHO AMOMBE MSAMAHA HADHARANI


Daktari wa zamani wa timu ya Chelsea Eva Carneiro amesema anataka kocha wa zamani wa  Jose Mourinho kumwomba msamaha hadharani kwa vitendo alivyomtendea...Kutoelewana kulianza na tifu kati ya daktari Eva na Jose kwenye mechi moja ambapo Jose aligombeza Eva kwa hasira kwa uamuzi wake Eva wa kuingia uwanjani na kumsaidia mchezaji aliyeumia...Baada ya hapo Eva aliwekwa benchi na badae Eva akaamua kusepa na kufungua mashtaka ya udhalilishaji na unyayasaji katika kazi...Leo Eva ameingia kwenye Mahakama ya Kazi kujaribu kusulihisha mambo ndipo akamtaka Mourinho aombe radhi hadharani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment