Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Eva Carneiro. Show all posts
Showing posts with label Eva Carneiro. Show all posts
Wednesday, 8 June 2016
CHELSEA: JOSE MOURINHO NA CHELSEA WAMALIZANA NA EVA CARNEIRO
Hatimaye Jose mourinho na Chelsea wamemalizana na kesi iliyokuwa inawakabili...Kesi hiyo ililetwa na Eva Carneiro kutokana na jinsi alivyo tendewa na Jose Mourinho na pia jinsi alivyofukuzwa kazi...Hapo awali alipewa offer ya £1.2 milioni afute kesi akakataa lakini sasa amekubali yaishe na Chelsea wametoa msamaha kwa kumtendea ndivyo sivyo Carneiro...Kisa chote kilianza kwenye mechi ambayo mchezaji wa Chelsea Eden Hazard aliumia na Eva ambae ni daktari akaenda kumsaidia uwanjani na kitendo hicho kilimkasirisha sana Jose na kumbombeza Eva na badae kuachishwa kazi na Chelsea...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 7 March 2016
EVA CARNEIRO: DAKTARI WA ZAMANI WA CHELSEA ATAKA JOSE MOURINHO AMOMBE MSAMAHA HADHARANI
Daktari wa zamani wa timu ya Chelsea Eva Carneiro amesema anataka kocha wa zamani wa Jose Mourinho kumwomba msamaha hadharani kwa vitendo alivyomtendea...Kutoelewana kulianza na tifu kati ya daktari Eva na Jose kwenye mechi moja ambapo Jose aligombeza Eva kwa hasira kwa uamuzi wake Eva wa kuingia uwanjani na kumsaidia mchezaji aliyeumia...Baada ya hapo Eva aliwekwa benchi na badae Eva akaamua kusepa na kufungua mashtaka ya udhalilishaji na unyayasaji katika kazi...Leo Eva ameingia kwenye Mahakama ya Kazi kujaribu kusulihisha mambo ndipo akamtaka Mourinho aombe radhi hadharani...Bofya hapa upate habari zaidi.
Thursday, 17 December 2015
BREAKING NEWS: JOSE MOURINHO ATIMULIWA
Habari moto moto zilizoingia hapa Max Sports ninasema Jose Mourinho ametimuliwa Chelsea...Chelsea wako hatiani kushuka daraja na mwenye timu Roman Abramovich kashindwa kuvumilia na kumtimua Jose Mourinho...The Special one mwanzo wa msimu aligombana na doctor wa Chelsea, Eva Carneiro, na hatimaye huyo doctor kuondoka baada ya hapo timu imefungwa mara 9 na sasa iko point 1 juu ya relegation stage...Bofya hapa upate habari hii moto kabisa
Thursday, 24 September 2015
CHELSEA: EVA ASEPA NA ANATAKA KUFUNGUA MASHTAKA
Dokta wa Chelsea, Eva Carneiro, ambae alishushwa cheo baada ya kuwakiwa na Jose Mourinho kwenye mechi dhidi ya Swansea ameamua kuachia ngazi...Pamoja na kuachia ngazi anafikiria kufungua mashtaka dhidi ya club yake kutokana na issue ya mkataba na kuvunjiwa heshima...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)



