Wednesday 8 June 2016

CHELSEA: JOSE MOURINHO NA CHELSEA WAMALIZANA NA EVA CARNEIRO


Hatimaye Jose mourinho na Chelsea wamemalizana na kesi iliyokuwa inawakabili...Kesi hiyo ililetwa na Eva Carneiro kutokana na jinsi alivyo tendewa na Jose Mourinho na pia jinsi alivyofukuzwa kazi...Hapo awali alipewa offer ya £1.2 milioni afute kesi akakataa lakini sasa amekubali yaishe na Chelsea wametoa msamaha kwa kumtendea ndivyo sivyo Carneiro...Kisa chote kilianza kwenye mechi ambayo mchezaji wa Chelsea Eden Hazard aliumia na Eva ambae ni daktari akaenda kumsaidia uwanjani na kitendo hicho kilimkasirisha sana Jose na kumbombeza Eva na badae kuachishwa kazi na Chelsea...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment