Monday 6 June 2016

NBA FINALS 2016: WARRIORS WASHINDA GAME 2


Golden State Warriors wameshinda Game 2 kupitia Draymond Green...Warriors walibadilisha mkali wao na wakati huu Green alikuwa star wa Warriors kitu ambacho Cleveland Cavaliers hawakukioa na hawakutehemea....Green alimaliza akiwa na points 28 rebounds 7 na assists 5 huku Cavs wakibaki anashangaa tu...Golden State walishinda mechi 110-77...


Walichofanya Warriors ni kumwamini Green na kutupia mipira kibao ya 3 points na wala Cavs hawakushtukia kabisa huku Stephen Curry akicheza defensive game...Kipindi cha kwanza Kevin Love aliumizwa vibaya kichwani na Harrison Barnes na sasa Cavs wamemkosa mtu ambae anawasaidia sana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment