Wednesday 22 June 2016

EURO 2016: IVAN PERISIC AISHANGAZA SPAIN NA KUSABABISHA SPAIN WAKUTANE NA ITALY


Croatia wamewachapa Spain 2-1 na kusbabisha Spain wakutane na Italy 16 bora...Timu zote zimefuzu round ya 16 bora lakini haikutegemewa matokeo yawe hivyo...Imepita miaka 12 na siku 1 toka Spain wachapwe kwenye michuano ya Europe...Spain ndio walianza kuona lango la Croatia mapema dakika ya 7 bao la Alvaro Morata na badae kabisa dakika ya 45 Croatia walisawazisha kupitia Nicola Kalinic...Kwa ujumla mechi ilikuwa kali mwanzo mwisho...Tusubiri 16 bora...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment