Saturday 4 June 2016

BREAKING NEWS: MUHAMMAD ALI AFARIKI DUNIA


Habari zilizoingia Max Sports muda si mrefu kutoka Marekani ni kwamba bingwa wa dunia wa ndondi wa zamani  Muhammad Ali amefariki dunia...Ali alikimbizwa hospitali juzi kutokana na matatizo wa kifua na alitegemewa kutokaa sana hospitali lakini mambo yakabadilika na akawekwa kwenye mashine ya kusaidia kuishi lakini haikusaidia...Ali amefariki akiwa na miaka 74...



Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake...Innalillahi wa inna ilayhi raji'un...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment